Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Mila - Tamaduni –Vyakula / Sikukuu za umma

Sikukuu za umma



Sikukuu za umma



Jumapili zote hujumuishwa katika sikukuu za umma. Katika siku hizo hakuna shughuli za kibiashara zinakubaliwa

Wsikukuu za kisheria na za kitamaduni ni gani?

Baadhi ya hizi likizo ni za kisheria (za lazima kisheria), wakati zingine ni za kitamaduni. Tofauti kuu kati ya aina hizi mbili ni kuwa wakati wa likizo za kisheria ni marufuku kufanya kazi, ilhali wakati wa likizo za kitamaduni kufanya kazi ni kwa hiari, na kunategemea mwajiri.

Likizo za Kisheria

  • Machi 25, (sikukuu ya kitaifa)
  • Ijumaa Nzuri
  • Jumatatu ya Pasaka
  • Mei 1, Siku ya Wafanyikazi
  • Agosti 15, Dhana ya Bikira Maria
  • Oktoba 28 (sikukuu ya kitaifa)
  • Disemba 25, Krisimasi
Likizo za Kitamaduni
  • Januari 1, Mwaka Mpya
  • Januari 6, Epifania
  • Jumatatu Tukufu
  • Disemba 26, Siku ya Pili ya Krisimasi
  • Sherehe ya siku ya Mlezi Mtakatifu wa mji
  • Siku ya Ukombozi wa Mji
Likizo zaidi, hadi tano kila mwaka, zinaweza kuamuliwa na Wizara ya Wafanyakazi

Likizo katika Sekta ya Elimu

  • Novemba 17: Kuzinduliwa kwa Chuo cha Kiufundi cha Atheni
  • Disemba 24 – Januari 7: Mkesha wa Krisimasi – siku ya Mtakatifu Yohana
  • Januari 30: Maaskofu Watatu Watakatifu
  • Jumatatu Tukufu – Jumapili ya Thomaso
  • Jumatatu ya Roho Mtakatifu (kila Jumatatu ya Kwanza ya Juni kila mwaka)
  • Sherehe ya siku ya Mlezi Mtakatifu wa mji
  • (Julai 1) – Seputemba 11: Likizo ya Majira ya Kiangazi (shule hufunguliwa Seputemba 1 kwa marudio ya mitihani

Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa