Ndio!
Kwenda shuleni ni lazima kwa miaka 10 ya kwanza shuleni, almuradi mtoto amehitimu kwa miaka. Mwaka mmoja katika shule ya chekechea, miaka sita katika shule ya msingi, na miaka mitatu katika daraja la chini la Sekondari ni lazima, huku mahudhurio ya miaka mitatu ya daraja la juu la sekondari ni kwa hiari. Hapa chini utapata maelezo ya kina kuhusu utaratibu wa mfumo wa elimu nchini.
a) Vituo vya Kuwatunza Watoto na Shule za Chekechea
Watoto walio chini ya miaka4 wanaweza kujiunga na shule za chekechea zinazopatikana katika kila Manispaa nchini. Zinafunguliwa kuanzia 7:00 hadi 16:00, na huwapa watoto kiamsha kinywa na chakula cha mchana. Watoto wana haki ya kwenda katika kituo cha kuwatunza watoto, kutegemea uwezo wa kiuchumi wa wazazi au wasimamizi wao. Usimamizi wa Vituo vya Kuwatunza Watoto na Shule za Chekechea ni wajibu wa Utawala wa Manispaa. 1 .
b) Elimu ya shule ya chekechea nchini Ugiriki huanzia umri wa miaka 4. Mahudhurio ni ya lazima kwa watoto wenye umri wa zaidi ya miaka mitano.
Serikali ya Ugiriki imewajibika kutoa elimu ya bure kwa kiwango chochote, kutegemea umri wa mtoto. Hata hivyo, nafasi zinazopatikana katika Vituo vya Utunzaji Watoto ni chache katika miji mikubwa. Kwa hivyo, taratibu masharti fulani lazima yawekwe katika kuwasajilisha watoto, kutegemea:
Kumbuka:kubaguliwa kwa watoto wenye asili ya uhamiaji kutoka shule za chekechea za manispaa ni ubaguzi, na unaweza kuripoti katika mamlaka husika. Utapata maelezo ya huduma za kisheria mwishoni mwa mwongozo ulio mikononi mwako.
Hatua inayofuatia elimu ya chekechea ni miaka sita ya lazima katika Shule ya Msingi –Dimotiko, ambayo ni ya elimu ya msingi.
a) Elimu ya Sekondari ya Kiwango cha Chini – Jimnesia:
Miaka mitatu ya mahudhurio ya Jimnesia ndio awamu ya mwisho ya elimu ya lazima, na ni lazima ili kusajiliwa na kuhudhuria mafunzo ya kijumla na ya ufundi wa Liseumi. Jimnesia za jioni huendeshwa sambamba na za Mchana, na mahudhurio huanza katika umri wa miaka 14.
b) Elimu ya Sekondari ya Kiwango cha Juu- Liseumi:
Awamu ya pili ya elimu ya sekondari si ya lazima, huchukua miaka mitatu, na huwa na matawi mawili:
Wanafunzi wanaandikishwa katika Elimu ya Jumla na Liseumi ya Kiufundi wakiwa na miaka 15. Liseumi ya Kijumla na Liseumi ya Kiufundi ya jioni huendeshwa sambamba na zile za mchana, miaka ya chini kabisa kusajiliwa ikiwa ni 16 katika Liseumi ya Kiufundi ya jioni
Elimu ya Juu ni kiwango cha mwisho cha mfumo rasmi wa elimu, na hujumuisha Sekta ya Chuo Kikuu na ya Teknolojia. Sekta ya Chuo Kikuu hujumuisha Vyuo Vikuu, Vyuo vya Kiufundi, na Kitivo cha Sanaa Nyoofu, huku Sekta ya Teknolojia ikijumuisha Taasisi za Elimu ya Teknolojia (T.E.I) na Elimu ya Juu ya Ufundishaji na Elimu ya Teknolojia (ASPETE).
Wanafunzi wanaweza kujiunga na Vyuo Vikuu, Vyuo Vikuu vya Kiufundi, na Taasisi za Elimu ya Teknolojia, kupitia mfumo wa Mitihani ya Kiingilio, huku Vitivo vya Sanaa Nyoofu na ASPETE vikiwa na mfumo wa mitihani yao wenyewe ya kiingilio.
ELIMU YA MSINGI (SHULE ZA MSINGI- DIMOTIKA):
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Alisoupoli | 18 Mt. Elefitheri, 14235 – Nea Ionia | 2102776459 | mail@dim-diap-n-ionias.att.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Amifithea | 3 Mt. Tirinthosi, 17564 – Paleo Faliro | 2109423118 | dimdiapf@sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 87 | 58 Mt. Orifeosi, 11854 – Votanikosi | 2103465125 | mail@87dim-athin.att.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Thesaloniki | Kapatou & Mt. Galanaki, Thesaloniki, 54629 | 2310529932 | mail@dim-diapthess.thess.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 3, ya Menemeni ya Thesaloniki | 58 Kolokotroni & Mt. Konstantinoupoleosi, 54628 – Menemeni | 2310529932 | mail@3dim-diap-menem.thess.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 5, ya Menemeni ya Thesaloniki | 1 Megalou Alesandirou & Mt. Agiou Nekatariou, 54628 – Menemeni | 2310707313 | mail@5dim-menem.thess.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Epivatesi | 1 Mt. Sicholioni, Neoi Epivatesi 57019 | 2392023133 | mail@dim-n-epivat.thess.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 6, ya Evosimosi ya Thesaloniki | Eirinisi & Mt. Makedono Machoni, Evosimosi, Thesaloniki – 56224 | 2310764235 2310764235 | mail@6dim-evosm.thess.sch.gr WEBSITE:http://6dimevosm.wix.com/home |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 6, ya Elefitherio – Kordelio ya Thesaloniki | 18 Mt. Davaki, 56334, Elefitherio - Kordelio | 2310761420 Fax: 2310705638 |
mail@6dim-diap-elefth.thess.sch.gr WEBSITE:http://6dim-diap-elefth.thess.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Sapesi ya Rodope | 2G. Mt. Genimata, 69300 Sapesi | 2532022066 | mail@dim-sapon.rod.sch.gr WEBSITE:http://dim-sapon.rod.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya Iasimosi ya Rodope | Iasimosi 69200 Rodope | 2534022267 | mail@dim-iasmou.rod.sch.gr |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 9, Ionina | 1 Mt. Gilikidoni – 45221 – Ngome ya Ioanina | 2651022203 | mail@9dim-ioann.ioa.sch.gr WEBSITE:http://9dim-ioann.ioa.sch.gr/ |
Shule ya Msingi ya Elimu ya Tamaduni-Changanyi ya 16, ya Chania | 111. An. Mt. Manitaka | 2821097348 | mail@16dim-diapchanion.chan.sch.gr WEBSITE:http://blogs.sch.gr/16dimdch/archives/author/16dimdch |
ELIMU YA SEKONDARI (JIMNESIA NA LISEUMI):
Jimnesia ya 2 ya Elimu Tamaduni-Mseto ya Acharinesi, Atika | Agiou Dionisiou & Mt. Aigaiou Pelagousi, 13671, Acharinesi Atika | 2102445416 | mail@2gym-diapol-acharn.att.sch.gr WEBSITE:http://2gym-diapol-acharn.att.sch.gr/ |
Jimnesia ya 2 ya Elimu Tamaduni-Mseto ya Atheni | 4 Mt. Epirou, Atheni – 10433 | 2105243873 | mail@2gym-athin.att.sch.gr |
Jimnesia ya 2 ya Elimu Tamaduni-Mseto ya Eliniko | 8 Mt. 31, 16777 Eliniko | 2109607436 | mail@2gym-apod-athin-att-sch.gr |
Liseumi ya Jumla ya 2 ya Elimu Tamaduni-Mseto ya Eliniko | 8 Mt. 31, 16777 Eliniko | Tel.:2109626716 Fax: 2109626716 |
WEBSITE:http://2lyk-diap-ellin.att.sch.gr/ |
Jimnesia ya Elimu ya Tamaduni-mseto ya Mashariki mwa Thesaloniki | 8 Mt. Ethinikisi Aminasi, Thesaloniki P.C. 54621 | 2310329056 | mail@gym-diapol.thess.sch.gr WEBSITE:http://gym-diap-thess.thess.sch.gr/index.htm |
Liseumi ya Jumla ya Elimu Tamaduni-mseto ya Mashariki mwa Thesaloniki | 8 Mt. Ethinikisi Aminasi, Thesaloniki P.C. 54621 | 2310251622 | mail@lyk-diap-thess.thess.sch.gr WEBSITE:http://www.diapolitismikolykeio.gr/ |
Jimnesia ya Tamaduni-mseto ya Evosimosi | Kolokotrini & Mt. Erotokritou, 56224 Evosimosi | WEBSITE:http://gymdiapevosm.blogspot.gr/ | |
Liseumi ya Jumla ya Elimu Tamaduni-mseto ya Evosimosi | 3 Mt. Piniou 56224 Evosimosi | 2310703221 | WEBSITE:http://lyk-diap-v-thess.thess.sch.gr/index.php |
Jimnesia ya Elimu ya Tamaduni-mseto ya Sapesi, Rodope | 1 Mt. Jimnesiaki V. Koutoumani, Sapesi – P.C 69300 | Tel: 25320-22041 Fax: 25320-22153 |
WEBSITE:http://gym-sappon.rod.sch.gr/ |
Liseumi ya Jumla ya Elimu ya Tamaduni-mseto ya Sapesi, Rodope | 1 Mt. Jimnesiaki V. Koutoumani, Sapesi – P.C 69300 | Tel:2532022640 Fax:2532023710 |
mail@lyk-diap-sappon.rod.sch.gr WEBSITE:http://lyk-diap-sappon.rod.sch.gr/?page_id=34 |
Jimnesia ya 2 ya Elimu ya Tamaduni-mseto ya Ioanina | 4-6 G. Mt. Papandireou, 45444 Ioanina | Tel.& Fax: 2651025054 | WEBSITE:mail@2gym-ioann.ioa.sch.gr |
Jimnesia ya Tamaduni-mseto ya Karoutio na Liseumi ya Pentalofosi ya Kozani | Pentalofosi ya Kozani, 50007 | Tel.: 2468041210 Fax: 2468041581 |
TOVUTI:dimpenta@sch.gr |
APamoja na uendeshaji wa Shule za Tamaduni-mseto, kuna program mpay katika madarasa ya kawaida shuleni yanayolenga ushirikiano laini na sawa zaidi kati ya wanafunzi wageni na wenyeji, na wale wasio wa asili ya Kigiriki wasioweza kukidhi mahitaji ya lugha darasani sambamba na wale wa umri wao.
Kuna Madarasa mawili ya Mapokezi (I na II), na moja la Mafunzo ya Ziada.
Madarasa haya yanapatikana katika shule ambazo zimejumuishwa katika kile kinachoitwa ZEP (Kanda za Elimu Kipaumbele), zilizoanzishwa mwaka 2010 katika maeneo ambako mambo yafuatayo yamekwisha kuonekana:
Hususan :
1. Katika Darasa la 1 la Mapokezi:
Yafuatayo yanahitajika ili mwanafunzi ajiunge na Darasa la Mapokezi:
3. Mafunzo ya Ziada
Uamuzi wa Muungano wa Walimu, kufuatia pendekezo la mkurugenzi wa kitengo cha shule, unahitajika kwa uendeshaji wa Mafunzo ya Ziada.
Uamuzi wa Muungano wa Walimu unajumuisha:
Malengo ya kijumla ya Shule za ZEP ni:
Uendeshaji wa program hizi huegemea kanuni za elimu ya tamaduni-mseto. Chombo chao kikuu ni kukiri, kuendeleza heshima, na kukubalika kwa lugha na tofauti za kitamaduni miongoni mwa wanafunzi, na kutumia fursa hii ya utofauti wa kitamaduni kwa manufaa ya mchakato mzima wa elimu.
Madhumuni maalumu ya program hizi ni:
Β)Shule za Tamaduni Mseto, Madarasa ya Mapokezi, na Mafunzo ya Ziada
Mbali na muundo wa kijumla wa mfumo wa Kigiriki wa elimu, baadhi ya Manispaa, kulingana na mahitaji ya makundi ya wahamiaji, huendesha Shule za Tamaduni-Mseto ili kukidhi mahitaji ya watoto ambao asili yao sio Kigiriki, na ambao wametoka kutoka asili mbalimbali za kitamaduni. Kanuni za kimsingi za Elimu ya Tamaduni-Mseto ni:
Ndio! TWatoto wanaokuja Ugiriki katika umri mdogo wanaweza kujifunza Kigiriki shuleni na kupitia mitagusano ya kijamii kwa kuishi kwa miaka michache nchini. Lakini vipi kwa raia waliokomaa kutoka mataifa ya tatu, wanaotaka kujifunza Kigiriki?
Kujifunza lugha ya Kigirki ni muhimu kwa maisha ya kila siku kwa mkazi yeyote wa kudumu nchini Ugiriki. Kupata vyeti kupitia mitihani ya Kigiriki (ufahamu na matumizi) kwa kuandika na kuzungumza, ni hitaji kwa raia wa mataifa ya tatu ili kupata hali ya mkazi wa muda mrefu. Zaidi ya hayo, ili kufanywa kuwa raia kuna mkazo katika maarifa ya kutosha katika kunena na kuandika kwa Kigiriki, kama utakavyosoma katika sehemu mbalimbali za mwongozo huu.
Ratiba yenye utaratibu wa kina zaidi wa kozi za bure za kujfunza Kigiriki kama lugha ya kigeni katika Ugiriki zimepangwa na Shirika la Vijani na Kusoma Milele (IVEDIVIM) na huitwa mradi wa ‘ODISEI’. Umeangazia raia wa Umoja wa Ulaya na raia wa mataifa ya tatu, licha ya asili yao, kuanzia miaka 16 na zaidi, bila ubaguzi wa aina yoyote kwa wanaoishi Ugiriki kihalali. Mbali na kujifunza Kigiriki kama lugha ya pili (ama ya kigeni), historia ya Ugiriki na sehemu za utamaduni wa Kigiriki pia hufunzwa katika mradi wa ‘Odisei’. Lengo ni mwanafunzi apata maarifa na mazoezi ya lugha, mbinu za kijamii na tamaduni-mseto, ili aweze kuielewa na kutangamana na jamii ya Ugiriki, wao na familia zao. Kukamilisha kwa kozi ya stadi hii huwapa wanafunzi nafasi ya kushiriki katika Mtihani wa Cheti cha Kufuzu katika Kiwango cha A2 katika Kigiriki, Ukatibu wa Jumla wa Kusoma kwa Maisha.
Kwa habari zaidi:
INEDIVIM : www.inedivim.gr
Mradi wa “Odisei” Tel: 2131314625, -26 -27 -28 -29,
e-mail: odysseas@inedivim.gr
Mojawapo wa mashirika yanayothibitisha kiwango cha uelewa wa Kigiriki ni Kituo cha Ufundishaji Kigiriki cha Kisasa cha Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Kapodistiria cha Atheni. Kituo hiki cha ufundishaji hutoa kozi za kujifunza Kigiriki kama lugha ya kigeni na vipengele vya tamaduni za Ugiriki. Wanafunzi wanatakiwa kulipa ada ya masomo ili kuhudhuria kozi. Ndicho kituo kikubwa na kikongwe zaidi duniani cha ufundishaji wa Kigiriki. Wengi wa mahafala wake ni walimu wa Kigiriki cha Kisasa na Filoloji katika Vyuo Vikuu kote duniani, na wanachama wa makundi ya kidiplomasia nchini mwao, viongozi wa makanisa, wanasayansi watajika, mameneja wa kampuni, wasanii waheshimika, na wataalamu wa biashara
TKituo hiki cha Ufundishaji huendeshwa chini ya usimamizi wa Mpango wa ndani kwa ndani wa Idara kwa Ufunzaji wa Kigiriki cha Kisasa kama lugha ya pili/kigeni, pamoja shahada ya Uzamili ya Idara ya Filolojia, na Idara ya Falsafa, Ufundishaji, na Saikolojia.
Malengo ya Kituo cha Ufundishaji ni:
Idara ya ufundishaji Kigiriki kama lugha ya kigeni huendeshwa Thesaloniki tangu 2015, na hutoa kozi za masomo ya mbali kupitia tovuti
Shule ya Lugha ya Kigiriki cha Kisasa ya AUTHI
Tel.: 2310 997158,
Barua pepe:louizou@ad.auth.gr
Jumba la Utawala "Κ. Karatheodori"
AUTHI
P.C.: 54124
Thesaloniki
[unaweza kupata habari zaidi na fomu ya maombi katika tovuti] http://smg.web.auth.gr/wordpress/?page_id=3898]
Ndio! – Shule za Nafasi ya Pili huendeshwa kwa lengo hili.
Shule za Malengo ya Pili ni shule za Elimu ya Watu Wazima. Hulenga raia wa zaidi ya miaka 18, ambao hawajamaliza elimu ya lazima ya sekondari.
The total duration of the program is 18 months, namely 2 school years (from September to June). Following the successful attendance, an equivalent degree to that of Gymnasium is granted.
Jumla ya muda wa programu hii ni miezi 18, ambayo ni miaka miwili ya shule (kuanzia Seputemba hadi Juni). Kufuatia mahudhurio mazuri, shahada sawia na ile ya Jimnesia hutuzwa. Mtaala hutofautiana na ule wa elimu rasmi katika yaliyomo, mbinu za ufunzaji na kuwatathmini wanafunzi. Ratiba ya kila wiki hujumuisha saa 25 na madarasa hufanyika saa za alasiri (isipokuwa shule zinazoendeshwa GEREZAni, kozi hutolewa asubuhi), kutoka Jumatatu hadi Ijumaa. Kozi zinazofunzwa ni pamoja na:
Mkazo umewekwa hasa kwa upatikanaji wa ujuzi wa kimsingi na maendeleo ya ujuzi wa kibinafsi. Upatikanaji wa maarifa ya jumla, matumizi ya teknolojia mpya, na ushauri nasaha katika mwelekeo wa kitaaluma huboresha kwa kiasi kikubwa upatikanaji wa soko la ajira.
Shule 58 za Nafasi ya Pili huendeshwa kote nchini Ugiriki, na 7 zinazotimiza mahitaji ya elimu ya wafungwa katika GEREZA za nchi. Unaweza kupata orodha kamili ya Shule za Nafasi za Pili pamoja na habari nyingine kuhusu mpangilio huu katika tovuti http://www.inedivim.gr/index.php/sde
SHULE ZA NAFASI YA PILI
1. ENEO LA MASHARIKI MWA MASEDONIA NA THURASI | |
SNP ZA ALESANDROUPOLISI | TEL.: 25510 89804 |
SNP ZA DRAMA | TEL.: 25210 26880 |
SNP ZA KAVALA | TEL.: 2510 245001 |
SNP ZA KOMOTINI | TEL.: 25310 83414 |
SNP ZA SANTHI | TEL.: 25410 84366 |
SNP ZA ORESTIADA | TEL.: 25520 23393 |
SNP ZA SAPESI | TEL.: 25320 21110 |
2. ENEO LA ATIKA | |
SNP ZA ACHANESI | TEL.: 210 2409737 |
SNP ZA AGIOI ANAGIROI | TEL.: 210 8323941 |
SNP ZA KALITHEA | TEL.: 210 9533008 |
SNP 1 ZA KORIDALOSI | TEL.: 210 5693520 |
SNP ZA PALINI | TEL.: 210 6669129 |
SNP ZA PIRAEUSI | TEL.: 210 4935600 |
SNP ZA PERISTERI | TEL.: 210 5319749 |
SNP 2 ZA KORIDALOSI (GEREZA) | TEL.: 210 4963972 |
3. ENEO LA KASKAZINI MWA EEGENI | |
SNP ZA MITILENE | TEL.: 22510 37401 |
SNP ZA SAMOSI | TEL.: 22730 24830 |
SNP ZA CHIOSI | TEL.: 22710 81860 |
4. ENEO LA MAGHARIBI WA UGIRIKI | |
SNP ZA AGIRINIO | TEL.: 26410 56100 |
SNP ZA PATRASI | TEL.: 2610 462086 |
SNP ZA PIGOSI | TEL.: 26210 20350 |
5. ENEO LA MAGHARIBI MWA MASEDONIA | |
SNP ZA KASTORIA | TEL.: 24670 21001 |
SNP ZA KOZANI | TEL.: 24610 41077 |
SNP ZA FLORINA | TEL.: 23850 44858 |
SNP 1 ZA GREVENA (GEREZA) | TEL.: 2462083656 |
6. ENEO LA EPIRUSI | |
SNP ZA ARITA | TEL.: 26810 74354 |
SNP ZA IONINA | TEL.: 26510 65187 |
7. ENEO LA THESALI | |
SNP ZA VOLOSI | TEL.: 24210 48762 |
SNP ZA KADISA | TEL.: 24410 73995 |
SNP 1 ZA LARISA | TEL.: 2410 670950 |
SNP 1 ZA TRIKALA | TEL.: 24310 31080 |
SNP 2 ZA LARISA (GEREZA) | TEL.: 2410 671065 |
SNP 2 ZA TRIKALA (GEREZA) | TEL.: 24310 87691 |
8. ENEO LA VISIWA VYA IONIANI | |
SNP ZA KORFU | TEL.: 26610 44997 |
9. ENEO LA MASEDONIA YA KATI | |
SNP ZA GIANISA | TEL.: 23820 81010 |
SNP 2 ZA THESALONIKI | TEL.: 2310 254565 |
SNP ZA KATERINI | TEL.: 23510 22744 |
SNP ZA NAOUSA | TEL.: 23320 52161 |
SNP 1 ZA THESALONIKI (NEAPOLI) | TEL.: 2310 672715 |
SNP ZA SERESI | TEL.: 23210 58811 |
SNP 3 ZA THESALONIKI (GEREZA LA DIAVATESI) | TEL.: 2310 753580 |
10. ENEO LA KRETE | |
SNP ZA IERAPETRA | TEL.: 28420 89736 |
SNP ZA RETHIMNO | TEL.: 28310 35519 |
SNP ZA TILISOSI | TEL.: 2810 831145 |
SNP ZA CHANIA | TEL.: 28210 52132 |
11. ENEO LA KUSINI MWA EEGENI | |
SNP ZA RODESI | TEL.: 22410 23585 |
SNP ZA SIROSI | TEL.: 22810 87660 |
12. ENEO LA PELOPONESI | |
SNP ZA ASOSI LECHAIO | TEL.: 27410 86880 |
SNP ZA KALAMATA | TEL.: 27210 80425 |
SNP ZA NAPILIO | TEL.: 27520 99484 |
SNP ZA SPATI | TEL.: 27310 28825 |
SNP ZA TRIPOLI | TEL.: 2710 222757 |
13. ENEO LA UGIRIKI YA KATI | |
SNP ZA ALIVERI | TEL.: 22230 29824 |
SNP ZA AMIFISA | TEL.: 22650 79298 |
SNP ZA LAMIA | TEL.: 22310 66028 |
SNP ZA OCHOMENOSI | TEL.: 22610 39045 |
SNP 1 ZA DOMOKOSI (GEREZA) | TEL.: 22320 22046 |
SNP 1 ELEONASI THIVA (GEREZA) | TEL.: 22620 71918 |
Ndio! Mashirika kadhaa ya umma na ya kibinafsi yanahusika katika elimu ya raia wazima wa Ugiriki, kama vile Shule za Nafasi ya Pili zinazoendeshwa chini ya usimamizi wa INEDIVIM. Shirika lingine linalotoa elimu kwa watu wazima ni OAED3 (linalopanga taratibu za elimu kwa wasio na kazi).
Taasisi za umma na za kibinafsi (I.E.K)4, pamoja na taasisi binafsi kama vile K.E.K (Vituo vya Mafunzo wa Ufundi) na K.E.E. (Vituo vya Elimu ya Watu Wazima)5) pia zina bidii katika maswala ya elimu na mafunzo ya watu wazima. Vituo hivi mara nyingi hupanga ratiba za elimu wakilenga makundi-tengwa katika jamii kama vile wasio na ajira ama wahamiaji. Ratiba za K.E.E na K.E.K hufadhiliwa na mashirika mbalimbali yanayokuza elimu na mahusiano ya ajira, au kukuza sera za utangamano an hayahitaji ada.
Aidha, programu kadhaa hutolewa kwa marupurupu chini ya sera zinazohusishwa na elimu na kazi. Katika programu hizi, wanafunzi wanapofuzu, wanashirikishwa katika kazi sawia na mambo waliyosomea. Aina hii ya elimu ya ‘vocha za mafunzo’ ina marupurupu na wanafunzi hulipwa kwa kushiriki kwao, lakini mishahara yenyewe ni chini zaidi kuliko ile wangepata iwapo wangefanya kazi kwa kawaida katika kampuni io hio.
Unaweza kupata orodha kamili ya K.E.K zinazoendeshwa nchini katika tovuti https://www.voucher.gov.gr/kek/index/pid/1ambapo unaweza kutafuta KEK/KEE ya mafunzo ya kiufundi, kutegemea unakoishi.
DOATAP (Kituo cha Kitaifa cha Habari za Utambuzi wa Kielimu cha Helenika – NARIC) ni shirika linalohusika na utambuzi wa shahada (ya kwanza, uzamili na uzamivu) kutoka nje ya Ugiriki6. Unaweza kupata habari muhimu kuhusu shirika hili katika tovuti wao (http://www.doatap.gr/) wambapo unaweza kuona taasisi za elimu zinazotambuliwa nchini Ugiriki, upakue maombi ya kutambuliwa na shahada sawia na hoja zinazotuzwa, upate orodha na stakabadhi muhimu pamoja na ada ya kulipwa kwa utaratibu huo. Kutokana na ukweli kwamba shahada za chuo kikuu na teknolojia huchunguzwa moja moja (hasa zisizotambuliwa), unapaswa kutembelea tovuti ama ofisi za shirika ili kupata habari zaidi kuhusu kisa chako.
DOATAP
Tovuti :http://www.doatap.gr/
ATHENI (Makao Makuu)
Anwani: 54 Ag. Mt. Konstantinou
P.C. 104 37
Tel.: 210 5281000 (Saa za Kazi: 09.00-14.00)
Faksi: 210 5239525
information_dep@doatap.gr
THESALONIKI
Anwani: Wizara ya Masedonia na Thurasi – Jumba la Serikali
P.C. 541 23
Tel.: 2310 379 371, 2310 379 373, 2310 379 106
FAksi: 2310 379374
thessaloniki@doatap.gr