Α) Masuala ya Kuzuia
Afya njema hutegemea hoja nyingi kama vile za urithi, umri, kiwango cha maisha, uwezo wa kiuchumi, na hoja fulani za kimazingira. Ushauri bora zaidi kwa kutunza afya njema ni kuzuia.
Β) Mfumo wa Kitaifa wa Afya Nchini Ugiriki (ESY)
Huduma za afya nchini Ugiriki hutolewa has kupitia Mfumo wa Kitaifa wa Afya (NHS), unaojumuisha hospitali zote za umma nchini na vituo vya matibabu, pamoja na Kituo cha Kitaifa cha Msaada wa Dharura (EKAB).
Mfumo wa afya nchini Ugiriki umegawanywa katika kiwango cha Msingi na cha Sekondari.
Mfumo wa kimsingi unajumuisha vituo vya afya vya kimsingi kwa ajili ya kuzuia, kutibu na kurekebisha, kama vile:
Katika hali ya dharura, piga nambari 166 ((kutoka kwa simu za mezani au za mkononi) kwa Kituo cha Kitaifa cha Msaadad wa Dharura (EKAB) na ambulensi itafika alip mgonjwa na kumpeleka katika hospitali iliyo karibu.
Katika hali isiyo ya dharura, ama katika hali ambapo unaweza kwenda kwa gari lako hadi hospitali iliyo karibu, unaweza kupata orodha hapa chini yenye maelezo ya kina ya anwani na nambari za mawasiliano za hospitali za umma nchini.
Kumbuka: Hospitali za taifa zenye kliniki za wagonjwa wa kuja na kurudi nyumbani, idara ya dharura na maduka ya dawa haziendeshwi kwa saa 24/7 kwa wagonjwa. Kwa sababu hii, katika maeneo yaliyo na hospitali au duka la dawa zaidi ya moja, zinaendeshwa katika zamu, ili wananchi wapate hospitali au duka la dawa patokeapo hali ya dharura nje ya saa za kazi na usiku.
A.GH. EVAGELISIMOSI | 45-47 Mt. Yisilantou. ATHENI - PC: 10675 | KITUO CHA SIMU 213-20.41.000 | http://www.evaggelismos-hosp.gr |
KILINIKI YA MACHO YA ATHENI | 26 EL. MT. VENIZELOU ATHENI - PC: 10672 | KITUO CHA SIMU 213. 20.52.701 | http://www.ophthalmiatreio.gr |
A.G.H POLIKLINIKI | 3 MT. PIRAEUSI ATHENI - PC: 10552 | KITUO CHA SIMU 213-20.44.000 | |
PATHI.A.H SPILIOPOULIO-AGIA ELENI | 21 D. Mt. Soutisou., ATHENI - PC: 11521 | 213-20.23.400 | http://www.spiliopoulio.gr |
A.G.C.H. PAN. & AGILAIA KIRIAKOU | THIVONI & MT. LIVADIASI GOUDI, ATHENI - PC: 11527 | 21320.09.000 | http://www.aglaiakyriakou.gr |
A.G.C.H. AGIA SOFIA | PAPADIAMONTOPOULOU & MT. THIVONI . GOUDI, ATHENI - PC: 11527 | 213-20.13.000 | www.paidon-agiasofia.gr |
Α.A.O.H. AGIOSI SAVASI | 171 MT. ALESANDRASI ATHENI- PC: 11522 | 210-64.09.000 | www.agsavvas-hosp.gr |
HOSPITALI YA ATHENI YA YA MAGONJWA YA ZINAA "ANDREASI SIGIROSI" | 5 MT. DRAGOUMI ATHENI – P.C: 16121 | 210-72.65.000 | http://www.syggros-hosp.gr |
A.G.M.H. ELENA VENIZELOU | 2 EL. VENIZELOU SQ. ATHENI - PC: 11521 | 213-20.51.000, 210-6432220-23 | http://www.hospital-elena.gr |
A.G.H. ALESANDRA | 80 VASI. MT. SOFIASI., ATHENI - PC: 11528 | 213-21.62.000 | http://www.hosp-alexandra.gr |
A.G.H. ELPIS | 7 MT. DIMITISANASI. AMPELOKIPI, ATHENI - PC: 11522 | KITUO CHA SIMU 213-20.39.000 | http://www.elpis.gr |
A.G.H. "KORIGIALENEIO-BENAKIO" HELENIKA MSALABA MWEKUNDU | 1 ER. MT. STAVROU ATHENI - PC: 11526 | 213-20.68.000 | http://www.korgialenio-benakio.gr |
A.G.H. IPOKIRATIO | I: 114 VASI. MT. SOFIASI ATHENI - PC: 11527 | 213.20.88.000 | http://www.hippocratio.gr |
A.G.H. LAIKO | 17 AG. MT. THOMA ATHENI - PC: 11527 | 213-20.60.800 | http://www.laiko.gr |
HOSPITALI YA PAMAKARISTOSI YA MAONGOZI YA MUNGU | 43 IAKOVATONI MT.Κ. PATISIA - PC: 11144 | 213-20.42.100 | http://www.pammakaristos-hosp.gr |
HOSPITALI YA JUMLA YA ATHENI - “G. GENNIMATAS” | 154 MT. MESOGEION - ΤΚ: 11527 | 213-20.32.000 | http://www.gna-gennimatas.gr |
A.G.H. K.A.T | 2 MT. NIKIS KIFISIA - PC: 14561 | 213-20.86.000 | http://www.kat-hosp.gr |
KITUO CHA KITAIFA CHA MAREKEBISHO | 1 SP.MT. THOLOGOU & MT. FILISI (YA 8) ILIONI YA ATICA –PC: 13122 | 210-23.14.292 | |
A.G.H SISIMANOGILEIO | 1 MT. SISIMANOGILEIOU MAROUSI - PC: 15126 | 213-20.58.001-100 | http://www.sismanoglio.gr |
M.G.H “AM. FLEMING” | 14 MT. MARITIOU MELISIA 25 - PC: 15127 | 213-20.03.200 | http://www.flemig-hospital.gr |
HOSPITALI YA JUMLAYA MAGONJWA YA KIFUA “SOTIRIA” | 152 MT. MESOGEIONI. ATHENI - PC: 11527 | 210-77.78.611 -9, 210-77.63.100 | http://www.sotiria.gr |
HOSPITALI YA JUMLA YA KONSTANTOPOULEIO YA N. IONIA | 3-5 MT. AGIASI OLGASI. N. IONIA - PC: 14233 | 213-20.57.000 | http://www.konstantopouleio.gr |
A.G.H. PATISIONI | 15-17 MT. CHALOKIDOSI ATHENI - PC: 11143 | 213-20.56.100 - 129 | http://www.gnpat.gr |
HOSPITALI YA KIJUMLA DHIDI YA SARATANI “AGIOI ANAYRIGIROI” | 145 MT. KALYFTAKI N. KIFISIA - PC: 14564 | 210-35.01.500, 210-23.88.780, 210-23.88.779 | |
HOSPITALI YA JUMAL YA WATOTO YA PENTELI | 8 MT. IPOKRATOUSI P. PENTELI - PC: 15236 | 213-20.52.200 | http://www.paidon-pentelis.gr/ |
HOSPITALI YA EGINISHONI | 72-74 Vasi. Mt. Sofiasi., Atheni – PC 11528 | 210-7289250 |
Hospitali ya Jumla ya Nikaia “Agiosi Panteleimoni” | 3 D. Mt. Mantouvalou, 184 54 Nikaia | 213 2077000 | |
H.J ya Piraeusi “Tizaneio” | Zani & Afentouli, Piraeusi | 2132081000 | http://www.metaxa-hospital.gr/ |
H.J ya “Thuriasio” | G. Mt. Genimata Magoula 19018 | 213-2028000 | http://www.psyhat.gr/ |
U.G.H. “Atikoni” | 1 Mt. Rimini, P.C. 124 62, Chaidari, Atheni | 210 5831000, 2105831081, 2105831094 | http://www.dromokaiteio.gr/ |
Hospitali dhidi ya saratani, ya Piraeusi “Metasa” | 51 Mt. Mpotasi ., P.C. 18537, Piraeusi | 213.207.9100, Tel. appointments: 14500 | http://www.asklepieio.gr |
Hospitali ya Akili ya Atika (Dafini) | 374 Mt. Athinoni Chaidari, Atheni P.C. 12462 | 213 2054000 | |
Hospitali ya Akili ya Atika "Dromokaitio" | 343 Iera Odosi, PC 12461, Chaidari | 213 2046000 Emergencies : 213 2046340-1 | |
Hospitali ya Jumla ya Voula "Asikilipio" | 1 Mt. Vasileosi Pavilou Voula –PC 16673 | 2132163000 |
HOSPITALI YA JUMLA – KITUO CHA AFYA CHA Kithira "Trifilio" | Potamosi, P.C. 80200 Kythira | Tel. : 2281360500-600 | |
HOSPITALI YA JUMLA YA Sirosi “Vadakeio na Proio” | 2 Georgiou Mt. Papandreou Erimoupoli, Sirosi, P.C. 84100 | Kuulizia miadi 2285360500 | http://www.naxoshospital.gr/ |
GENERAL HOSPITAL – HEALTH CENTER of Naxos | NAXOS TOWN 84300 Naxos | ||
HOSPITALI YA JUMLA – KITUO CHA AFYA CHA Nasosi | MJI WA NASOSI 84300 NASOSI | 22410360000 Appointments & outpatient clinics: 2241360252 | |
H.J ya Rodesi "Andreasi Papandreou" | AG. APOSTOLOI, RODESI, 85100 | 2242360200 - 2242054200 | http://www.rhodes-hospital.gr/ |
HOSPITALI YA JUMAL –KITUO CHA AFYA CHA KOSI | 34 Ippokratous St. - KOS, P.C. 85300 | 22433 61900 | |
HOSPITALI YA JUMLA – KITUO CHA AFYA CHA KALIMINOSI “Vouvalioni” | 22 Nik. Mt. Zervou P.C. 852 00 Kaliminosi | 22470 23300 | |
HOSPITALI YA JUMLA – KITUO CHA AFYA CHA LEROSI | Laki, 854 00, Lerosi | 22543-50400 Ambulance: 22540-22166 Appointments: 22543-50495 | http://www.limnoshospital.gr |
H.J YA LEMINOSI | Mirina Leminosi | 22510 57700 | www.vostanio.gr |
H.J ya MITILENE “Vostanio” | 48 E. Mt. VostaniMitilene, P.C. 81100 | 2271350100 | |
H.J ya Chiosi “Skailitisio” | 2 Elenasi Mt.Venizelou, 82100, Chiosi | 22730 83100 Appointments : 22730 27426 | http://www.nosokomeiosamou.gr/ |
H.J ya Samosi “Agiosi Panteleimoni” | 17 Sintamatarachi Mt. Kefalopoulou, 83100 Vathi Samosi |
T.G.H “IPOKIRATIO” | 49 MT. KONST/POLEOSI, 546 42 THESALONIKI | 2313312000 | http://www.ippokratio.gr/, manager@ippokratio.gr |
CHUO KIKUU T.G.H. AHEPA | 1 Mt. Kyriakidi, PC 54636 Thesaloniki | Tel.: 2313.303110, 2313.303111, 2313.303310 | http://www.ahepahosp.gr/, ahepahos@med.auth.gr |
G.H.G PAPANIKOLAOU | Esochi ya Thesaloniki 570 10, THESALONIKI | Tel.: 2313-307000 | http://www.gpapanikolaou.gr/, info.gpapanikolaou@n3.syzefxis.gov.gr |
G.H. PAPAJEOJIOU | Barabara ya Mzunguko Thesaloniki – Efikapia, Efikapia – P.C. 96429 | 2313-323000 | |
T.P.H. G. PAPANIKOALOU | 196 Mt. Lagada, 564 29, THESSALONIKI | 2313-324100 | http://www.psychothes.gr/, info@psychothes.gr |
T.G.H. “G GENIMATASI’ | 41 Mt. Ethinikisi Aminisi ., 546 35, THESALONIKI | Tel.: 2313-308100 | http://www.gennimatas-thess.gr/, info@gennimatas-thess.gr |
T.H. “AGIOSI DIMITRIOSI’ | 2 Mt. Elenisi Zografou, 546 34, THESALONIKI | Tel.: 2313-322100 | http://www.oagiosdimitrios.gr/, agdim-plirof@3ype.gr |
T.G.H. “AGIOSI PAVILOSI” | 161 MT. ETHN. ANTISTASEOS, 551 34 THESALONIKI | 2313304400 | http://www.agpavlos.gr/, gramagpavlos@outlook.com |
HOSPITALI DHIDI YA SARATANI “THEAGENEIO” | 2 ALEX. MT. SIMEONIDI, 540 07 THESALONIKI | 2310898111 | http://www.theageneio.gov.gr/, theagen@otenet.gr |
H.J ya KATERINI | Katerini –Arona 6km, Idara ya Manispaa ya Neo Keramidi, katerini - 60100 | Tel.: 23513-50200 | http://www.gnkaterini.gr/, hoskat@otenet.gr |
UPANDE WA AKILI WA HOSPITALI YA JUMLA YA KATERINI | 102 Mt. 25 Martiou 102, 601 00, KATERINI | Tel. 23513-51800 | http://www.psynpo.gr/, gramatia@1228.syzefxis.gov.gr |
H.J ya MANISPAA YA IMATHIA YA VEROIA | Papagou Makazi, 591 00, VEROIA | Tel.:23313-51100 | http://www.verhospi.gr/, info1@verhospi.gr |
H.J ya MANISPAA YA IMATHIA YA NAOUSA | 3 Mt. Nosokomeiou, 59200, NAOUSA | Tel.:23323-50100 | http://www.gnnaousas.gr/, grammateia@gnnaousas.gr |
H.J ya PELA, MANISPAA YA EDESA | Mwisho wa Barabara ya Eginatia 582 00, EDESA | 23813-50100, 23810-23465 | http://www.gnedessas.eu/, info@gnedessas.eu |
H.J ya PELA, MANISPAA YA GIANISA | Mwisho wa Mt. Semazidi, 581 00 GIANISA | 23823-50200, 23823-50618 | http://www.gng.gr/, grman@gng.gr |
G.H.ya KOZANI “MAMASIO” | 1 Mt. Mamasiou, Kozani - 50100 | 24613-52600, 24610-67618 | http://www.mamatsio.gr/, noskoz@mamatsio.gr |
G.H. ‘MPODOSAKEIO’ | Eneo la Kouri, Polemaida – 50200. | 24633-51100 24633-51502 | http://www.mpodosakeio.gr/, informatics1@mpodosakeio.gr |
H.J ya KASTORIA | 33 Mt. Maviriotisisi, 52100, Kastoria | 24670-55600, 24670-24955 | http://www.kastoriahospital.gr/, kastoriahospital@kastoriahospital.gr |
H.J ya Girevena | Eneo la Kambi ya Jeshi 51100, Girevena | 24623-50100, 24623-50344 | http://www.nosgrevenon.gr/, admin@nosgrevenon.gr |
H.J. ya Chalikidiki | 63 100 Poligirosi | 2371020101 | http://www.hospitalchalkidiki.gr/, gnx@1157.syzefxis.gov.gr |
H.J. ya KILIKISI | 1 MT. NOSOKOMEIOU, 611 00 KILIKISI | 2341351400 | grammatia@ghkilkis.gr |
H.J. ya KILIKISI - GOUMENISA | 9 MT. MAVIROPOULOU, 61 300 GOUMENISA | 2343350300 | nosogoum@otenet.gr |
H.J. ya SERESI | 2 Km SERESI-NJIA YA MICHEZO 621 00 SERESI | 2321394500 | http://www.hospser.gr, gnseress@hospser.gr |
H.J. ya DRAMA | MWISHO WA MT. IPOKRATOUSI 66100 DRAMA | 25213350201 | http://www.dramahospital.gr/ |
H.J. ya KAVALA | AGIOSI SILASI, 655 00 KAVALA | 2513501585 | http://www.kavalahospital.gr/ |
H.J. ya SANTHI | NEAPOLI, 67100 SANTHI | 25413351151 | http://www.hosp-xanthi.gr/ |
H.J. ya KOMOTINI | 45 MT. SISIMANOGLOU 691 00 KOMOTINI | 25313351100 | http://www.komotini-hospital.gr/ |
H.J. ya CHUO CHA EVIROSI - ALESANDIROUPOLISI | DRAGANA, 68 100 ALEXANDROUPOLIS | 2551074100 | http://www.pgna.gr/ |
H.J. ya CHUO KIKUU CHA EVIROSI - DIDIMOTEIKO | 1 MT. KONSTANTINOUPOLE OS., 683 00 DIDIMOTEICHO | 2553022011 | http://www.did-hosp.gr/ |
Hospitali ya Chuo cha Larisa | PC: 41110 | Tel.. 2410 617000, 2410 682998, 2410 681460-1, 2410 611097 | Hospitali ya Chuo Kikuu |
Hospitali ya Jumla ya Larisa | Mt. 1 Tisakalofu: PC: 41221 | Tel.: 2410 230031, 2410 560329, 2410 232461, 2410 535150 | http://www.larissahospital.gr/ |
Hospitali ya Jumla ya Volosi | 134 Mt. Polimeri, TK: 38222 | Tel.: 24210 27531, 24210 30702, 24210 23301, 24210 20440 | http://www.volos-hospital.gr/ |
Hospitali ya Jumal ya Kaditisa | Mwisho wa Mt. Taviroposi PC:43100 | Tel.: 24410 65555, 24410 24953, 24410 26312, 24410 26313 | http://www.karditsa-hospital.gr/ |
Hospitali ya Jumla ya Trikala | 56 Mt. Kaditisa PC: 42100 | Tel.: 24313 50100 | http://www.trikalahospital.gr/ |
H.J. ya ARIGOLIDA ARIGOSI | 191 MT. KORINTHOU, ARGOSI | 2751360100 |
H.J. ya ARIGOLIDA – NAFUPILIO | ASIKLIPIOU & KOLOKOTRONI | 2752361100 |
H.J ya MESINIA - KALAMATA | Antikalamosi ya Mesinia | 2721363118 |
H.J. ya MESINIA - KIPARISIA | 13 Al. Mt. Kalantzaki, Kiparisia – P.C. 24500 | 2761360100-60200 |
H.J. ya LAKONIA - SPATI | P.C. 23100 | 2731029068 |
H.J. ya LAKONIA MOLAI | Hospitali ya Jumla na Kituo cha Afya cha Molai, P.C 23052 | 2732022374-22035-22446-22922 |
H.J. ya KORINTHO | 53 Mt. Athinon, Korintho – PC 20100 | 2741361400-61841, 2741025771-6 |
H.J. ya PATRASI “AGIOSI ANDREASI” | 1 Mt. Tsertidou, P.C. 26335, Patrasi | 261360100 |
HOSPITALI MAALUM ZA MAGHARIBI MWA UGIRIKI ZA MARADHI YA KIFUA - PATRASI | 118 Mt. Girokomeiou, PatrasI – P.C. 26226 | 2613600300-1 |
H.J. ya PATRASI “KARAMANDANEIO” | 40 Mt. Erithirosi Stavirosi, PC 26331 | 2610622222 |
HOSPITALI YA JUMLA YA CHUO KIKUU CHA PATRASI | Rio, Patrasi PC 26504 | 26132603000-1 |
H.J. ya MASHARIKI MWA ACHAIA | Ano Voulomeno, PC 25100, Aigio | 2691022222 |
H.J. ya MASHARIKI MWA ACHAIA - KALAVITA | 4 Mt. Panou Polka, PC 25001 | 2692360100-26 92022222 |
H.J. ya ILIA-PIRIGOSI | Patrasi – Pirigosi Barabara ya Kitaifa, Sintriada – PC 27100 | 2621082300 |
H.J. ya ILIA-AMALIADA | 128 Mt. Evagelistriasi, Amaliada – PC 27200 | 2622360100 |
H.J. ya ILIA - KRESTENA | Krestena ya Ilia, PC 27055 | 26250-22222-22249 |
H.J. ya P ya TRIPOLI | Mwisho wa Mt. Erithurosi Stavirosi, Tripoli – PC 22100 | 2713601700 |
SEKTA YA AKILI YA H.J. YA TRIPOLI | 5km. Barabara ya kitaifa ya zamani. Tripoli – Kalamata | 2713600500 |
H.J YA ZAKINITHOSI ‘AGIOSI DIONISIOSI’ | Gaitani, Zakinithos – PC 2910 | 2695360500 |
H.J. YA KORFU | Kontokali, Korfu PC 49100 | 2661360400 |
SEKTA YA AKILI ya H.J. ya KORFU | Ch. Mraba wa Tsirigo., Korfu PC – 49100 | 2661361100 |
H.J. YA KEFALONIA | Souidias St., Argostoli – PC 28100 | 2671038000 |
H.J. YA LISOURI “MANZAVINATEIO” | 91 Mt.Stylianou Tipaldou, Lisouri ya Kefalonia – PC 28200 | 2671092222 |
H.J. YA LEFUKADA | 24 Mt. Aristotelousi Valaoriti, Lefukada – PC 31100 | 2645038200 |
H.J. YA ARITA | Mlima Peranithi, Arita - PC 47100 | 2681022222 |
H.J. YA IOANINA “G. HAZIKOSITA” | Mt. Makigiani, Ioanina – PC 45001 | 2651366688, 2651080111 |
H.J. YA PIREVEZA | 2 Mt. Selefikia, Pireveza – PC 48100 | 2682361200 |
H.J. YA CHUO KIKUU YA IOANINA | Mt. Stavirou Niarichou, Ioanina – PC 45500 | 2651099111 |
H.J. & KLINIKI YA HOSPITALI YA FILIATESI | 10 P. Mt. Mpempi, Filiatesi | 2664960222 |
H.J. YA ETOLOAKANANIA – MANISPAA YA AGIRINIO | 3km. Agirinio – Barabara ya Kitaifa ya Anitirio - PC 30100 | 2641361556 |
H.J. YA ETOLOAKANANIA – MANISPAA YA MESOLONGI “CHAZIKOSITA” | 30 Mt. Napakitou, Mesolongi – PC 30200 | 2631360100 |
Athari ya mgogoro wa kiuchumi kwa mfumo wa afya nchini Ugiriki ni bayana. Kwa mujibu wa gharama za huduma za afya, kwa sasa yafuatayo yatatumika:
Kumwona daktari kwa jambo dogo hakutozwi malipo yoyote. Iwapo utahitaji kuchunguzwa na/au kulazwa hosptalini, mgonjwa (iwapo ana bima) hulipa kiwango cha jumla ya gharama na shirika la umma hugharamia nyinginezo. Hali ni iyo hiyo kwa dawa.
Hii hufanya mfumo wa afya ya umma uwe bila malipo au rahisi kuliko mashirika ya kibinafsi.
Mashirika kadhaa ya kutetea haki, kama vile Mashirika yasio ya Kiserikali na juhudi za wananchi, yametumika kushinikiza mahitaji ya msingi na sekondari-huduma za kiafya kwa wasio na uwezo wa kugharamia afya, na mashirika na uendeshaji wa kliniki za jamii na maduka ya dawa, yanayotoa huduma za bure kwa wote, bila ubaguzi. Unaweza kupata orodha ya miundo kama hii hapa chini:
Miundo ya Huduma za Afya:
Hapana!
Raia wa mataifa ya tatu wanaoishi Ugiriki kihalali wana haki sawa za afya na Raia wa Ugiriki. Kinachotofautiana sio asili ya mtu, bali hali ya bima (tazama hapa chini)
Wakati wa kuandika mwongozo huu, mswada kuhusu kulinda kadi za afya za watu wasio na bima ulikuwa umewasilishwa kwa mashauriano, ili kuhakikisha kwamba watu wasio na bima yoyote wananufaika kupitia kazi zako. Kadi za afya zinatarajiwa kutolewa na Vituo vya Huduma kwa Raia (K.E.P) baada ya kuwasilisha stakabadhi muhimu.
Yafuatayo yatazingatiwa kwa makundi mbalimbali ya watu wasio na bima, kutegemea umri wao, mchango wao katika bima ya kitaifa kwa muda ambao wamefanya kazi, mahali wanapoishi, taifa lao la asili, na hali ya uhalali wao.
Watu wasio na bima kufikia mfumo wa afya.
Katika orodha ya hapo juu, unaweza kupata hospitali zinazoshughulikia matatizo ya akili pekee. Kinyume na hali nyinginezo za kiafya zinazohitaji idhini ya mgonjwa, katika visa vya akili mgonjwa anaweza kushurutishwa (kupitia amri ya mahakama au polisi), kwani mara nyingi wagonjwa huwa na pingamizi kubwa. Ukumbukee kuwa mchakato wa ‘uchunguzi wa kiakili wa kushurutishwa’, kama unavyoitwa, huwa na balaa sana kisheria na kimatibabu, na huingiliwa na mashirika huru kama vile ‘ombudsman’ ya Ugiriki:
Maswala ya kiafya, na hasa afya ya akili, hutathminiwa kwa njia tofauti katika tamaduni mbalimbali.
Katika hali ya raia wa mataifa ya tatu wenye matatizo ya akili, kuna Mipangilio ya Kiakili ya Tamaduni-Mseto inayoangazia kwa umakini swala la tofauti za kitamaduni. Unaweza kupata mojawapo wa mipangilio hii katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Eginitio cha Atheni (angalia anwani hapa chini).
‘KETHEA MOZAIKI’ hutoa habari, ushauri, na usaidizi wa kiakili kwa wahamiaji waliotawaliwa na dawa za kulevya ili kuwasaidia kupata uponyaji na mtangamano wa kijamii. Pia hushughulikia mahitaji zaidi ya kijamii, kutoa huduma za afya pamoja na usaidizi kwa waliotawaliwa na dawa za kulevya kwa ushirikiano na huduma, ushauri wa kisheria, vipindi vya Kigiriki, uchunguzi wa kimatibabu, n.k. Kujumuishwa kwa huduma hizi juu ya kupunguza madhara, kutafuta matibabu, ushauri wa tamaduni-mseto na elimu, hutengeneza mandhari mazuri kwa mahitaji maalum ya wahamiaji.
Kijitabu cha afya ya mtoto hulenga kukusaidia kufuatilia ukuaji wa mtoto wako kwa njia rahisi inayoeleweka. Hujumuisha maelezo ya kina kuhusu ukuaji wa kimwili na wa kihisia. Kwa kushauriana na daktari wako wa watoto, itakusaidia kutambua mabadiliko yoyote ya hali yake ya afya mapema.
TKijitabu cha afya ya mtoto huonyesha chanjo, magonjwa yoyote ambayo yaweza kumwathiri mtoto, na habari nyinginezo ambazo zinaweza kuongezwa na daktari anayemshughulikia mtoto wako.
Unaweza kutazama orodha ya hospitali za Mfumo wa Kitaifa wa Afya, Vituo vya Afya vya Manispaa na miundo ya afya (mashirika yasiyo ya kiserikali na mengineyo) ili kupata madaktari wa watoto watakaokusaidi kufuatilia afya ya watoto wako.