Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Huduma, Taasisi, Ushauri / MAKAVAZI

MAKAVAZI

vergina

Makavazi ya Ugiriki huwa na maonyesho yanazingatia vipengele vingi vya utamaduni na mafanikio.

Aina za Makavazi ni kama zifuatazo:

  • Makavazi ya Akiolojia na Mikusanyiko
  • Makavazi ya Baizantini na Mikusanyiko
  • Makavazi ya ngano na historia
  • Makavazi ya sanaa
  • Makavazi ya michezo
  • Makavazi ya Filamu
  • Makavazi ya Picha
  • Makavazi ya Bahari
  • Makavazi ya Maslahi Maalumu
  • Makavazi ya muziki

Ni wapi naweza kupata orodha ya makavazi yote ya Ugiriki?

Katika jedwali lifuatalo, utapata anwani na mitandao ya makavazi yote ya Ugiriki.

Makavazi ya akiolojia

Makavazi ya Baizantini

Makavazi ya ngano na historia

Makavazi ya Utamaduni

Makavazi ya Sanaa

Makavazi ya Historia Asili

Makavazi ya Teknolojia

Makavazi ya Vita na Bahari

Makavazi Mbalimbali


Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa