Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Mfumo wa Utawala / Mfumo wa Kisiasa / Mamlaka ya Mahakama

Mamlaka ya Mahakama

Εκτελεστική ΕξουσίαMamlaka ya Mahakama katika Ugiriki hutambulika kama yale ya utawala, manispaa, mahakama za adhabu.

Katika hukumu za Kigiriki, kuna aina tatu za Mahakama Kuu:

  • Baraza la Nchi
  • Mahakama ya Rufaa ya Juu
  • na Mahakama ya Hesabu

Mahakama hizi huwa na majaji ambao wamefuzu kutoka Shule ya Kitaifa ya Majaji. Marais na Makamu wa mahakama hizo kuu huchaguliwa na Baraza la Mawaziri miongoni mwa wanachama wanaohudumu katika kila Mahakama Kuu.

Εκτελεστική Εξουσία

Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa