Mfumo wa kisiasa wa Ugiriki ni ule wa Jamhuri ya Bunge la Uakilishi wa Kidemokrasia, ambapo Waziri Mkuu wa Ugiriki ndiye Kiongozi wa Serikali, and ya mfumo wa vyama vingi.
Mamlaka ya uundaji sheria yako chini ya Bunge la Heleniki. Katiba ya 1957 inasheheni uhuru wa kina kwa raisa na inampa mkuu wan chi mamlaka katika Raias wa Jamhuri, na ambaye huchaguliwa na bunge. Muundo wa serikali ya Ugiriki ni sawa na ule wa demokrasia nyingi za magharibi. Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri huwa na jukumu maalum katika mchakato wa kisiasa, wakati Rais kimsingi ana jukumu lisilo na mamlaka, akiwa na uwezo finyu wa kisheria na utendaji.
Upigaji kura ni jambo la lazima nchini Ugiriki, ingawa katika hali za kila siku kutopiga kura hakuna adhabu inayotolewa.
Mamlaka ya mahakama yako huru kutoka kwa Mamlaka ya Urais na Mamlaka ya Wabunge. Kwa hivyo, mfumo wa mamlaka katika jamhuri ya Ugiriki unajumuisha: