Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Jiografia – Habari ya Idadi ya Watu / Jiografia / Bahari

Bahari

Thalasses Ugiriki imezungukwa na Loniani, Eejeni, Bahari ya Libya, na Bahari ya Likio. Bahari ya Eejeni ina visiwa vingi, vikiwemo visiwa vya Yuboya, Lesibosi, Rodesi, na visiwa vya Sikaledi na Didokanesi, huku ukipata Krete upande wa kusini – Krete ikiwa kisiwa kikubwa zaidi cha Ugiriki, na cha tano kwa ukubwa katika Mediterenia. Kusini mwa Krete kuna Gavudosi, kilicho kusini kabisa mwa Ugiriki na Bara Ulaya. Visiwa vingine vya Bahari ya Loniani pamoja na Korfu, Kefalonia, Lefukada na Zanite. Kusini mashariki, kati ya Rodesi na Kastelorizo, kuna Bahari ya Likio.

Ugiriki ina ukanda wa Pwani wa kilomita 13,676, unaochukuliwa kuwa mkubwa sana, kutokana na kina kipana kilichotengana, na eneo kunyanzi, pamoja na wingi wa visiwa vinavyozidi 2,500, na ambavyo hususan ni tokeo la mgongano wa vijisahani vya ardhini vya Afrika na vile vya Ulaya. Mipaka yake ina urefu wa kilomita 1,228.


Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa