Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Jiografia – Habari ya Idadi ya Watu / Jiografia / Maziwa

Maziwa

Ugiriki ina maziwa kadhaa, mengi ya maziwa hayo yakiwa bara. Ziwa lenya upana zaidi ni Trikonida. Maziwa makubwa zaidi ya Ugiriki ni:



Ziwa Kremasta (68.531 mita miraba) na ziwa Polifitosi (56.793 mita miraba) ni maziwa bandia yaliyotengenezwa hususan kuzalisha umeme, wakati Ziwa Morinosi, Ziwa Marathoni na Ziwa Yaliki hutoa maji kwa Atheni.


Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa