Mfumo wa Utawala
Jiografia, Habari ya Idadi ya Watu
Mila, Tamaduni

Sera za uhamiaji

Afya, Kazi, Elimu

Huduma, Taasisi, Ushauri
Uko hapa:  Jiografia – Habari ya Idadi ya Watu / Jiografia / Mito

Mito

Mito mingi inatiririka kupitia Ugiriki, ila hakuna hata mmoja unaopitika. Katika baadhi ya mito mikubwa zaidi, delta zinazoundwa na mibubujiko kuelekea baharini ni muhimu kwa ardhioevu kama vile Haliakimoni na Evirosi. Mito kama vile Pineiosi katika Thesali hutoa maji kwa ardhi ya kilimo kwa msaada wa chaneli za maji, huku maziwa bandia yakitengenezwa kwa ajili ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme.

Mto mrefu zaidi ni Haliakimoni. Hapa chini utapata jedwali lenye mito mirefu zaidi katika Ugiriki. Urefu unaoonyeshwa ni ule unaopitia nchini Ugiriki.


Rudi
Mradi wa 1.4.b/13 ‘Matangazo ya Redio ya masuala kuhusiana na wahamiaji, uzazi, na usambazaji mpana wa vifaa vilivyochapishwa, vya sauti na vielelezo’ ulifadhiliwa 95% na Hazina ya Jumuiya na 5% na Rasilimali za Kitaifa